1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(200,000 × 3) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢
➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA MWISHO UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.2 👈
✔️CHUMBA MASTER
✔️ SEBULE
✔️JIKO
USAFIRI BAJAJI 1000
DALALADA 700 NA UKISHUKA DAKIKA 3 UPO NDANI
KODI NI TZS 200,000 × 3
SIFA ZAKE NYUMBA
CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA SANA
SEBULE KUBWA YA KUJIACHIA
NA JIKO LAKE ZURI LA KISASA
UMEME LUKU YAKO MAJI YAPO PIA YANA FLOW NDANI
ZIPO APARTMENT 4 TU KWENYE FENCE NA HII MOJA NDIO IKO WAZI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖.
CONTACT US:-
0654101710
0787205300