1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA 
LOCATION KIMARA MWISHO UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.2 ๐
USAFIRI BAJAJI 1000 
DALALADA 700 NA UKISHUKA  DAKIKA 3 UPO NDANI
KODI NI TZS 200,000 X3 
SIFA ZAKE NYUMBA
CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA SANA SEBULE KUBWA YA KUJIACHIA  NA JIKO LAKE ZURI LA KISASA 
UMEME LUKU YAKO MAJI  YAPO PIA YANA FLOW NDANI
ZIPO APARTMENT 4 TU KWENYE FENCE NA HII MOJA NDIO IKO WAZI  KWA GARI YA CHINI NICHANGA MOTO
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA 
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347




















