1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara korogwe
🕑umbali kutoka stand ya mwendo kasi dk 12 -15 usafili boda 1000 mpaka getini kwako
📌Hii inakuwa wazi Tar 05/08/2025 kuona na kufanya malipo ruksa endapo mpangaji atakuwepo
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹 Dining
🔹Umeme LUKU yake, Maji yanaflow ndani
🔹Fenced Car Parking Kubwa
👉hela ya tahadhali mwezi mmoja
🔶Kodi Tsh 250, 000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Tsh 250, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu
0712528820
0685221354
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊