1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Nzuri INAPANGISHWA ✨️
Location: KIMARA MWISHO
Distance: KM 1.3 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji 500, Boda 1000
PRICE: 210,000 × 6
✍️Sebule Kubwa Sana
✍️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✍️Jiko Kubwa Zuri
✍️Umeme LUKU Yako
✍️Maji FREE 24HRS
✍️Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✍️Reserve TANK
✍️Fenced &Parking IPO 🚘
✍️Good Environment 💥
Itakuwa Wazi 22/09/2025
Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS 💰 ✍️
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp