1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







๐น๐ฟ #APARTMENT #INAPANGISHWA
โโโโโ
๐ Kimara Korogwe
๐ Umbali kutoka stand ya mwendo kasi ni dakika 10โ12. Usafiri wa boda ni Tsh 1,000/= hadi getini kwako. Pia unaweza kupitia Kimara Mwisho.
#SIFA ZAKE
๐น Chumba kimoja Master kikubwa
๐น Sebule kubwa
๐น Jiko nzuri
๐น Umeme LUKU โ wawili, kila mmoja na submeter yake
๐น Maji yanapatikana ndani masaa 24
๐น Fensi inaendelea kujengwa
๐น Ulinzi wa Wamasai masaa 24
๐ Gharama za Maji Taka, Usafi wa Nje na Taka Maji ya Kisima ni Tsh 145,000/= kwa miezi yote sita.
Malipo haya yatalipwa pamoja na kodi, na ukishalipa hutahangaishwa mpaka miezi 6 iishe.
#GHARAMA
๐ถ Kodi: Tsh 300,000/= ร 6 (miezi sita)
๐ถ Malipo ya Dalali: Tsh 300,000/=
๐ถ Service Charge: Tsh 15,000/=
๐ Piga Simu:
Karibu sana mteja ๐



















