1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA #INAPANGISHWA
📍Kimara Bucha , Dar es Salaam
🕝Dakika 6_7 Kutembea kwa mguu toka Kituo Cha Mwendokasi, Boda Boda 1000 tu.
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja, Master
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹Umeme LUKU yake, Maji yanaflow ndani
🔹Fence & Car Parking
🔹Pana mlinzi Wakampuni 24/7 hrs
🔸Kodi Tsh 300,000/=x6(Miezi Sita)
🔸Malipo ya Dalali Tsh 300,000/=
🔸Service Charge Tsh 15, 000/=
#Piga_simu👇
#0627977383.&Whatsapp📞
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊