1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION #KIMARA_STOP_OVER KROMT 1.5
SIFA YA NYUMBA NI
#Vyumba viwilli vya kulala
#Chumba kimoja ni master bedroom
#Sebule kubwa sana
#jiko zuli open kitchen
#choo cha public ndani
NYUMBA MPYAA MPYAA
UNATEMBEA UMEME NA MAJI
NYUMBA IPO NDANI FENCE PARKING KUBWA SANA
#BEI YA PANGO NI 350,000 X 6
#USAFIRI BAJAJI ZIPO SH 700K
BODABODA SH 1000
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 20,000 UKIPENDA NA KULIPA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZ
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
☆☆☆☆