1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT CLASSIC FOR RENT ✨️
KODI 250,000 ×,6
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
#JIKO KUBWA ZURI
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING SPACE KUBWA 🚗
#STORE KUBWA
#PAVING BLOCKS 🚫
#GOOD ENVIRONMENT 👍
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp