1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: MAJI CHUMVI/ KWA MKUWA
Unaweza Ukapitia KIMARA KOROGWE Usafiri Bajaj 700 Barabara Lami
Unaweza Ukapitia UBUNGO EXTERNAL Usafiri Bajaj 700 Barabara Mkeka
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข Sebule Kubwa
โข Chumba Kimoja Cha Kulala Master Bedroom
โข Jiko Zuri
โข Choo Kizuri Ndani
โข Heater ya MAJI
โข Electrical Fanse
โข Reserve Tank (Dawasa)
โข Garden
โข AC
Apartment zipo 3 Tu ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐_๐ฃ๐ Tsh. 350,000/- Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 20,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
#๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐_๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp