1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Korogwe
🕑 1km Umbali kutoka stand ya mwendo kasi dk 12–15 kwa mguu usafiri boda 1,000/= mpaka hapo.
📌Hii inakuwa wazi Tar 06/10/2025 kuona ndani na kufanya malipo luksa kabisa.
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master kikubwa
🔹Sebule kubwa
🔹Jiko kubwa
🔹Umeme LUKU yake, Maji yanaflow ndani
🔹Fence amna Car Parking Kubwa
#GHARAMA
🔶Kodi: Tsh 250,000/= × 6 (Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali: Tsh 250,000/=
🔶Service Charge: Tsh 15,000/=
---
📞 #0627977383
Piga_simu:
🙏
Karibu Sana Mteja 😊