1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI FOR RENT ✨️
Location: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
KM 1.3 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 500
KODI 400,000 × 6
📍SEBULE KUBWA SANA
📍DINING ROOM KUBWA
📍VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA
📍CHUMBA KIMOJA MASTER
📍JIKO ZURI KUBWA
📍PUBLIC TOILET NZURI 🚻
📍KILA CHUMBA KINA MAKABATI YA NGUO
NYUMBA
📍INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
📍IPO NDANI YA FENCE
📍PARKING SPACE KUBWA 🚘
📍GOOD ENVIRONMENT 👍
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NDUGU MTEJA 📞
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp