1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NGUGU MTEJA HII SIO YAKUKOSA APARTMENT INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA MWISHO PIA UNAWEZA KUPITIA STOP OVER
KODI 200,000X6
UMBALI KM 1.5
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA 1000 ADI KWENYE NYUMBA
SIFA YA NYUMBA
NI CHUMBA KIMOJA KIKUBWA NA SEBULE KUBWA NA JIKO FULL MAKABATI TOILET YA NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANA FLOW NDANI
BARABARA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE NA FULL PEVING BLOCKS
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 15-7-2025 KUONA NA KULIPIA LUKSA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
NAUKIPENDA NYUMBA KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
What saapp number 0689-547258