1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT CLASSIC FOR RENT
LOCATION: KIMARA KOROGWE 👉 KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROAD KM 2
BAJAJI SH.500 UKISHUKA DK 10
SEBULE KUBWA
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
JIKO KUBWA ZURI
TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
UMEME METER YAKO MAJI YANATOKA NDANI 24HRS
NYUMBA IKO KWENYE FENCE
PAVING BLOCKS 🚫
PARKING KUBWA SANA 🚗
KODI 200,000 × 6
KUONA NYUMBA GHARAMA ZAKE 15,000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIA NYUMBA🤝
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp