1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


๐น๐ฟ#APARTMENT #INAPANGISHWA
๐Kimara Bucha , Dar es Salaam
๐Umbali kutoka stand ya mwendo kasi km 1 usafili boda boda 1000 mpaka getini kwako kwa mguu dakika 15_17
#SIFAZAKE
๐ทChumba Kimoja, Master
๐ทSebule
๐ทJiko
๐ทPublick toilet ya ndani
๐ทUmeme LUKU yake, Maji yanaflow ndani masaa 24/7 hrs
๐ทFence & Car Parking kubwa
๐Ya juu inapangishwa
๐ถKodi Tsh 250,000/=x6(Miezi Sita)
๐ถMalipo ya Dalali roony Tsh 250,000/=
๐ถService Charge Tsh 15,000/-
๐Hii nyumba inakuwa wazi Tar 18/10/2024 kuona ndani na kufanya malipo luksa endapo tutamkuta mpangaji
#Piga_simu๐
#0627977383. & Whatsapp
#please #Follow us...๐
Karibu Sana Mteja๐