1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 #Mpyaa
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: MBEZI MWISHO NJIA YA GOBA
#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: Kutembea Kwa Mguu Dakika 6 - 7 Kutoka Kituoni Main Road.
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• SEBULE KUBWA
• CHUMBA KIMOJA CHA KULALA MASTER
• JIKO KUBWA LA KISASA
• Choo kizuri cha Familia
Apartment zipo 2 tu ndani ya Fensi ya Waya Nzuri Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 450,000/- Malipo Miezi 3
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 20,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞 𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp