1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(180,000X4) MBEZIMWISHO 
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA 
LOCATION:
MBEZI MWISHO 
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 13 NA SEKUNDE 49
KWA MIGUU
SIFA ZAKE:
SEBULE KUBWA
CHUMBA KIMOJA MASTER 
JIKO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI 
CHOONI YANATOKA 
KODI 180,000 X 4
BARABARA NZURI YA RAMI YA ZEGE GARI YEYOTE INAFIKA 
IPO NDANI YA FENCE 
PACKING SPACE KUBWA 
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA 
I NAFAULISHWA
ITAKUWA WAZI TAREHE 10/ 8/2024
KUONA NA KULIPIA RUKSA
CONTACT US:-
0716223412
0683597453




















