1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







Apartment Inapangishwa
Ni chumba kimoja cha kulala (Masta) (Cha Kibachela)
Mahali : Mbezi Beach(Almas Street)
Bei : 200,000 Tsh Kwa Mwezi
Malipo Ya Miezi 4
Kodi Inajumuisha gharama za maji, ulinzi na usafi
Mawasiliano :
📲 0682 402 327 📶
📲 0653 267 999 📶 ya WhatsApp