1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KUPANGA
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: UBUNGO KIBANGU JUU
Umbali wa Kilomita 1.3 kutoka Stand Riverside, Usafiri Boda 1000
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• SEBULE
• CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER BEDROOM
• JIKO ZURI
• PUBLIC TOILET YA WAGENI
Apartment zipo 3 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 300,000/- Malipo Miezi 6
HAKUNA CHENI... PIGA TU SIMU
0767636395
0782636396