1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment Nzuri INAPANGISHWA ✨️
Location: UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU
Distance: KM 1.5 Kutoka Mandela Road
Usafiri 24Hours Bajaji 500, Boda 1000
PRICE: 300,000 × 6
✍️Sebule Kubwa Sana
✍️Vyumba V3 Vikubwa
✍️Chumba Kimoja Master
✍️Jiko Kubwa Zuri
✍️Public Toilet Inside 🚻
✍️Umeme LUKU Yako
✍️MAJI Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✍️Reserve TANKS
✍️Fence Ipo Upande Mmoja
✍️No Parking Ila Ipo Sehemu Special Ya Parking
✍️Good Environment 💥
NB: UKIONGEZEA MIEZI KIDOGO ANAKUMALIZIA FENCE NA GETI 🤝
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp