1 Bedrooms House/Apartment for sale at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT 3 ZA KISASA,TSHS.70 MIL. ZOTE,KIMARA-TEMBONI.
Zipo umbali wa wastani wa kilomita 4 kutika Morogoro road, njia ya MATOSA.
Hizi nyumba ni za kisaaa na kila moja inajitegemea.
Kila Apartment ina:
Chumba KIMOJA, ambacho ni Masta,
Sebule, Jiko na Dining-room.
Kiwanja kina ukubwa wa wastani wa SQM.300.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_________________mpg



















