2 Bedrooms House for Rent at Amani, Tanga


VYUMBA VIWILI NDANI YA NYUMBA MOJA AMANI UWANJANI
#unguja #zanzibar
🚶Vyumba Viwili vyote single
☺️Choo Cha kushare
🤸Ukumbi mdogo unatumia peke yako
Nyumba ina mpangaji mmoja Family ya mke na mume
Kukutana mtakutana Jikoni na kwenye matumizi ya umeme 🥴
Bei Tsh 170,000/- Laki Moja na elfu Sabini kwa Mwezi (Malipo kuanzia miezi 6)
Hii ni Bei ya vyumba vyote Vi-wili kwa Pamoja na Ukumbi wake
What's App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake


















