2 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


UOABDE UNAPANGISHWA,VYUMBA 2,TSHS.300,000/MWEZI, GOBA-KULANGWA.
Hapa ni mita 200 tu kutoka Barabara ya Madale.
Kwa Daladala unashukia DIDI'S PUB Au HALF LONDON.
Ni Upande wa MAGHOROROFANI
(Kulia kutoka Njia Nne).
Nyumba ni nzuri ya kisasa na Salama.
Vyumba 2 vya kulala (Masta 1)
Pia kuna Sebule na Jiko.
Nyumba Ina Mfumo wa Ulinzi wa CCTV.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Kuona ni Tshs.20,000.
(Unalipa wewe MPANGAJI)
+255 714 591 548
_____________mpg