2 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


Ipo goba njia nne
Vyumba 2
Kimoja master
Sebule
Jiko
Dinning
Choo cha public
Bei 500k
Malipo ya miezi 4
Ni apartment kuna nyumba 3 kwenye fensi
Nyumba zote zimeachana
Na zinajitegemea umeme na maji
Nje tunaweka paving block
Namaliza sina chain hapa