2 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


45 millions mazungumzo yapo
Square meters 420
1. NYUMBA: Vyumba 2 kimoja master, Sebule, Jiko, Public toilet
šNyumba inahitaji finishing chache kuwa kwenye ubora zaidi kama kuingiza maji ndani (maji dawasa tayari yapo kwa nje).
Kuweka tiles, na kupaka rangi.
2. PAGALE: Chumba, Sebule, Jiko, Choo
3. Kuna space ya kuongezea nyumba kama unataka za wapangaji au kuweka parking space kubwa zaidi....
NB: Mpangaji aliyetoka hapo alikuwa analipa 250,000 kwa mwezi.
šGOBA TEGETA A, Bajaj 500 kutokea lami ya Goba (Njia panda ya Tegeta A)
0714733355 nipigie/WhatsApp