2 Bedrooms House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







🏡NYUMBA INAPANGISHWA
Location: KIBAMBA HOSPITAL
Distance: DAKIKA 2 KWA MGUU 🚶🚶
-SEBULE KUBWA SANA
-DINNING ROOM
-JIKO FULL MAKABATI
-VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
-PUBLIC TOILET INSIDE 🚻
KODI 300,000×6 TUU
NDANI YA FENCE ZIPO NYUMBA TATU
WALE WANAOPENDA KUISHI JIRANI NA BARABARA AU KUISHI SEHEMU YENYE USALAMA NA NYUMBA KUBWA HII HAPA.....
SERVICE CHARGE 20,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp