2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location kisiwani (barabarani)
<>nyumba ina vyumba viwili vyote Master sebule na jiko mpya
✅nyumba iko fenced
✅nyumba ina parking
✅nyumba ina electric ⚡️
✅nyumba iko barabarani
✅nyumba mpya na safi
<> asking price tsh,, 500k per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
<> malipo kuanzia miezi minne
<> Services Charge 20k zingatia utalatibu
◾️mawasiliano / Piga simu
✅0628505896
✅0763954837


















