2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location kisiwani
<> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebule na jiko mpya Full ac
✅nyumba iko fenced
✅nyumba iko parking
✅nyumba ina electric ⚡️
✅nyumba iko barabarani
✅nyumba mpya na safi
✅full ac & hita
<> asking price tsh,, 500k per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
<> services charge 20k zingatia utalatibu
◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837