2 Bedrooms House for Rent at Kijitonyama, Dar Es Salaam


APARTMENT YA VYUMBA 2,TSHS.700,000/MWEZI KIJITONYAMA/KITUO MORI SINZA.
Apartment nzuri.
Vyumba 2 vya kulala (Masta 1)
Pia ina Sebule,
Jiko la Wazi na Choo cha Familia ndani.
Luku yakujitegemea.
Maji yapo ndani na
Parking ipo pia.
Mwenyenyumba hakai hapo.
Wahi haikai hii.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Kuona ni Tsh.20,000.
(Unalipa wewe MPANGAJI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
____________kk


















