2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT 2 NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA BARUTI
DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Full air condition
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000x6
-------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
--------
Contact
#0693__673010
#0676_218580(WhatsApp)
#dalali_big__kimara๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐



















