2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿CLASSIC_APARTMENT#INAPANGISHWA
📍Kimara korogwe
🕛Umbali wa kutuka stand ya mwendo kasi km 1 usafili bodaboda 1000 tu.
Kwa mguu dakika 15 tu.
👉AINA YA 1:
Vyumba viwili, vya kulala
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹Public Toilet ndani
🔹Umeme LUKU yake & Maji yanatoka ndani
♦Kodi 500,000/= miezi kuazia 5 mpaka 6
👉AINA YA 2:
Vyumba viwili, vya kulala
🔸Sebule
🔸Jiko
🔸Public Toilet ndani
🔸Umeme LUKU yake & Maji yanatoka ndani
♦Kodi 400,000/= miezi kuazia 5 mpaka 6
👉AINA YA 3:
Chumba kimoja master
🌲Sebule
🌲Jiko
🌲 Umeme & Maji – Inajitegemea maji yanatoka ndani masaa 24
♦Kodi 300,000/= miezi kuazia 5 hadi 6
👉 SIFA ZA ZOTE
*Tank za Maji za kutosha
* UMEME kila mtu ana jitegemea
* Maji Ndani miter inajitegemea
* Nyumba zipo ndani ya fensi
* Car Parking kubwa
* Nyumba zinakuwa tayali kuingia tar 28/12/2025 kuona na kufanya malipo luksa kabisa.
🔹Umbali wa kutuka stand ya mwendo kasi km 1 usafili bodaboda 1000 tu.
🔹Kwa mguu dakika 15 tu.
📌ZINGATIA: Gharama
👉Nyumba unayo chukua kodi ya mwezi mmoja hela ya udalali utalipa
♦Malipo ya Dalali Tsh 500k/400k 300k
♦Service Charge kuona



















