2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA DK6 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 350,000/=×6
-----‐----
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.5
-----------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_kimara 🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏