2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
KODI TSH 200,000X6
VYUMBA 2 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO LIKO NJE PEMBENI, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
ZIKO 2 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU NDANI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
NYUMBA IKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA 15,000/=
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258