2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 5 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI HIZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE KABATI
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA SUKA DK 10-12 KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
SERVICE CHARGE TSH 15,000
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258



















