2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana
Location kimara korongwe km1 usafiri bajaji na daladala za kwenda mjini
Kodi 350000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Apartiment zipo mbili tu na hii moja ndio ipo wazi
Room 2 moja ni master bedroom
Sitting room
Kitchen with cabinet
Public toilet
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Paving block
Parking kubwa
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















