2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENTI YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM 3
USAFILI WA BAJAJI 1000
UKISHUKA TUU UNAPIGA TEKE GETI
=====
KODI 300,000/=X3
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI 300.000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
===
SIFA. ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI VIKUBWA SANA
SEBULE KUBWA JIKO NA CHOO NI PABLIC HAINA MASTER
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
====
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI