2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT MPYA ZA KUPANGA ZIPO KIMARA MWISHO
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 6
INA VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO MASTER BEDROOM SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI NA CHOO NDAN PUBLIC TOILET.
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENCE PARKING KUBWA, GARDEN INATENGENEZWA
UMBALI NI KM 2.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA MWISHO USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI TAXS NOA DALADALA 500
SERVICE CHARGE ELFU 15 NA ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637