2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 4 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA YA JUU INAKUWA WAZI TAREHE 30/08/2025
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER 
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI 
#PUBLICK TOILET 
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA 
#LUKU INAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA NDANI
#HITER MAJI MOTO
#LOCATION KIMARA KOROGWE AU KIMARA BUCHA KLM 1 BODA BUKU TU MPAKA GETINI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#0785889413




















