2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO DK5 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
--------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=ร6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
-----------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#Dalali_big_kimara ๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT ๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐