2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO DK5 KWA MIGUU KUTOKA LAMI KUINGIA TAR 1.3.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa
Public toilet
Maji yana flow
Heater ya maji moto maji baridi
Cctv camera
Tiles
Gypsum
Electronic fence
Garden safi
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 550,000/=×6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5.5
-----------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_viwanja_goba_mbezi