2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI NZURI SANA INA PANGISHWA
LOCATION: KIMARA MWISHO
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA SANA
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET
KODI 400,000X6
UMBALI KM 1 AU DAKIKA 10-15 KWA MGUU
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
NDUGU MTEJA NYUMBA HII INA PESA YA TAHADHARI YA MWEZI MMOJA
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0785889413