2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA 300X3
ZIPO 2 TU NDANI YA FENCE MOJA YA CHINI NDIO IPO WAZI
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI 3, 4, 5 NAKUENDELEA
LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 7 MPKA 8
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
#########
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE YA WASTANI
#JIKO KUBWA LA MAKABATI
#PABLICK TOILET BAFU NA CHOO NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI RIZVU TENK LIPO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
NB: NYUMBA INAFANYIWA UKARABATI WA RANGI VIZUR SANA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI