2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







KODI 300,000X6 KIMARA KOROGWE
UMBALI KM 1 AU BODA 1000
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO
CHOO CHA FAMILIA
TAILS JIPYSUM MADILISHA YA KIOO
HAIPO NDANI YA FENSI ILA USALAMA WA KUTOSHA
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI
YA CHINI NDO IPO WAZI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO
##0655256419