2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







KODI 350000 K X6
APATIMENTI ZIPO KIMARA TEMBONI
UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA 1 NA POINTI 5
USAFIRI NI BAJAJI 700
BODA BODA 1000
SIFA YA NYUMBA INAVYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTA
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
CHOO CHA
PABILIKI
UMEME KILA NYUMBA INAJITEGEMEA
MAJI YA KUSHEA
NYUMBA ZIPO NNE 4
NYUMBA MPYA
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
BARABARA INAFIKIKA MUDA HOHOTE
SIMU 0659336751 WSP 0786085637