2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(350,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗦𝗧𝗢𝗣 𝗢𝗩𝗘𝗥
APATMENT INA PANGISHWA KIMARA STOP OVER
KODI 350,000 × 6
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO LA MAKABATI
CHOO CHA FAMILIA
HII YA CHINI NDO IPO WAZI
UMBALI KM 1 AU DAKIKA 10-15 KWA MGUU
NYUMBA INA FULL A/C
NA MAFENI VYUMBANI
IPO NDANI YA FENSI PAKING KUBWA SANA
MAJI YANAFLOW NDANI
#NB: NDUGU MTEJA NYUMBA HII UKILIPIA INAFANYIWA UKARABATI WA RANGI NA VINGINE UTAKABIDHIWA NYUMBA IKIWA MPYAA KABISA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300



















