2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


🗯️Inapangishwa KIMARA TEMBONI
📍 450,000/= *5
📍 Wahiii ndugu mteja huwa haikai sana
_________
___
• Vyumba 2 vya kulala (Kimojawapo ni Master Kubwa)
• Sebule kubwa
• Dinning
• Jiko Kubwa
• Public Toilet
* A/c ipo Sebuleni na kwenye chumba cha master
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Maji yanatoka ndani
* Slide Windows
* Parking
• Mazingira TULIVU na MAZURI SANA
#Umbali wa Dk 5 kwa miguu kutoka Kituoni
📌 Angalizo:- Kodi inaambatana na hela ya tahadhari (caution money) Tsh 450,000/=, hivyo inabidi ulipe jumla miez 6
#NOTE: Ya Juu ndio Iko Wazi
______
#Kupelekwa kuona nyumba Tsh 15,000
#Malipo ya Dalali ni Tsh 450,000/=
______
0753-172-516