2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA INA PANGISHWA KIMARA MWISHO
UMBALI KM 2.5
KODI 300,000X6
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE
PUBLIC TOILET
JIKO LENYE MAKABATI
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA TILILIKA NDANI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA FULL PEVING BLOCKS
BARABARA YAKE INAHITAJI GARI YA JUU KIDOGO
UKILIPIA VYOMBO VINATOKA MDA HUOHUO
UNAKABIDHIWA NYUMBA YAKO
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0625606710



















