2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







0679 997610
#NYUMBA NZURI YA KUPANGA (400K X6)
KODI LAKI NNE MALIPO YA MIEZI SITA PIA KUNA PESA YA TAHADHARI HAPA INAYOLIPWA SAMBAMBA NA KODI AMBAYO NI 400K
NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 5 KWA MIGUU
SIFA ZAKE
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#KIMOJA MASTER
#SEBULE
#JIKO
#PUBLIC TOILET YA NDANI
#HEATER
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM PARKING SPACE IPO ZIPO APARTMENT MBILI TU NDANI YA FENCE
#UMEME UNAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA ELFU 20 MALIPO YA MIEZI KWA DALALI
NAFAULISHA HAPA WAKUNYOOKA MSIKURUPUKE NJOO NA AKILI TIMAMU🤝