2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🚨🔥NYUMBA NZURI #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara korogwe kilingule
🕑kutoka standi ya mwendo kasi km 2 usafili bajaji 500 ukishuka dakika 6 umefika
#SIFAZAKE
🌲Vyumba Viwili, kimoja Master
🌲Sebule
🌲Jiko
🌲Public Toilet nje
🌲Umeme Luku Yake
🌲Maji meter yake
🌲Fensi & Parking Hakuna ❌ usalama upo mazingira tulivu Sana
📌 Hii inarudiwa rangi ndani kote Kodi ni 250k maongezi kidogo yapo kalibu mteja
🔷Kodi Tsh 250, 000/= miezi 6
🔷Malipo ya Dalali Tsh 250, 000/=
🔷Service Charge. Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
###0655256419