2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENTI MPYAA KABISA UNAZINDUA MWENYEWE NDUGU MTEJA
ZIPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM. 2
BODA 1000/=
====
ZIPO NNE KWENYE FENSI MOJA
A).
VYUMBA VIWILI KIMOJAWAPO NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA JIKO KUBWA NA CHOO CHA PABLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
======
KODI. 400,000/=X6
MAONGEZI KIDOGA YAPO
DALALI 400,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA 15000/=
======
B)
CHUMBA KIKUBWA SANA SEBULE CHOO NDANI NA JIKO NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
====
KODI. 200,000/=X6
MAONGEZI KIDOGO YAPO
BEBA HELA USIIKOSE HII