2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA INAPANGISHWA ZIPO AINA 2 TOFAUTI
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 3 UMEFIKA
Sehemu 1 :--
NYUMBA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA NI MASTER' SEBULE' JIKO' PUBLIC TOILET
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Public toilet
Luku yako & Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Paving block
Parking yakutosha
KODI 600000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
____________________
Sehemu 2 :--
CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA SEBULE KUBWA JIKO KUBWA LA MAKABATI
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Luku yako & Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Paving block
Parking yakutosha
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI UMEME LUKU YAKE
KODI 400,000/ =X6
____________
KUONA NYUMBA SURVEY CHARGE NI 20000 ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
UKIPENDA NYUMBA UTALIPA MWEZ MMOJA KWA DALALI PINDI UNAPOLIPIA NYUMBA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030